USIKU WA MABINGWA.
Leo ni usiku wa mabingwa ikiwa ni rounding ya Sita (6) tukiendelea kupata burudani kwa sisi wapenzi wa
soka. Usipange kukosa maana utakosa vingi vyenye kukufundisha na kukuburudisha.
Kwa Habari zaidi usiache kufuatilia MORNINGSTAR kila siku kwa Habari zaidi na matokeo ya mechi zote..
0 Comments